Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awasili Lusaka, Zambia, Kwenye Mkutano Wa Benki Ya Maendeleo Ya Afrika
Posted by Unknown on 11:02:00 PM
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Zambia,
Christopher Mulenga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kenneth
Kaunda uliopo Lusaka,Zambia ambako atamwakilisha Rais Dkt.John Pombe
Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB.