Mh. Dkt Mahiga amuaga rasmi Balozi wa Italia
Posted by Unknown on 1:09:00 AM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt.
Augustine Mahiga (Mb), akimkabidhi zawadi Balozi wa Italia aliyemaliza
muda wake wa uwakilishi hapa nchini, Mhe. Luigi Scotto, katika hafla
maalumu ya kumuaga iliyofanyika tarehe 10-06-2016, kwenye hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam.